Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Gharama ya kuweka tangazo Times Square 

Tumeona mastaa wengi kama Burna Boy, Diamond Platnumz, Zuchu wakilipia matangazo yao katika maeneo ya Times Square huko Mjini New York- Marekani ila umewahi kujiuliza ni kaisi gani wanalipa?

Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali unaambiwa kuna gharama za tofauti tofauti za kulipia tangazo kulingana na bidhaa, ambapo kuna wale wa video ambazo wanataka zionekane kwa sekunde 15 hawa wanalipia Dola 40 sawa na Tsh/= 100,292.36.

Vile vile kuna gharama ya kuanzia kiasi cha $5,000 sawa na Tsh/= 12,536,545.28 kwa siku 1 hadi $50,000 na Tsh/= 125,365,452.83 kwa Tangazo.

Ila kwa mujibu wa utafiki wa mtandao wa Seeblindspot wanabainisha kuwa kuweka Tangazo la TV la sekunde 30 wakati wa muda mzuri, yani muda wa kupata watu wengi kulitazama basi utalazimika kulipia zaidi ya $100,000 sawa na Tsh/= 250,730,905.66.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *