Mchezo wa ligi Kuu umerejea tena baada ya kusimama kwa muda na leo majirana haya mchezo kati ya Tabora United na Prison umemalizika huku Tabaora (Kitayosce) ikiibuka na goli tatu na point tatu safii.
Ambapo Tabora utdfc 3-1 Tanzania Prisons. Magoli ya Tabora yamefungwa na John Ben (2)na Erick Okutu(1). Na Prison aliyefunga ni Samsoni Mbagula.