Msanii wa muziki wa Singeli Dulla Makabila ameonyesha chats alizotumiwa na Haji Manara baada ya kuachia wimbo wake mpya wa #Furahi unaodaiwa kuwa ni dongo kwa EX Wake ZaiyLissa
Katika chati hizo Manara anaonyesha kukasirishwa na maneno ya wimbo wa Dulla na kumwambia
‘Unamtukana na kumdhalisha mtu mwenye silaha zako.