Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa JKU Sports Club ya Zanzibar, Khatibu Khatibu akithibitisha kwenye #TheWarmUp juu ya kiungo wao kinda, Shekhan Ibrahim Hamis (18) kusajiliwa na Yanga SC SC ambaye alikuwa atue Simba SC.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz