Timu ya Yanga imefanikiwa kuifunga goli 3 kwa 1 Timu ya TP Mazembe kwenye mchezo wa Klabu bingwa Afrika kundi A ambapo kwa sasa Yanga anakua na point 4 nyuma ya MC Alger.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Clement Mzize dakika ya 33 na 60 na Aziz KI Dakika ya 56.
Baada ya mchezo huu Msimamo wa kundi A uko hivi
Al Hillal Point 9
MC Alger Point 4
Young Africans Point 4
TP Mazembe point 2