Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Filamu ya ‘Avatar: The Last Airbender’ imetoka

Wale wa wikiendi!! kuna movie mpya imetoka iitwayo Avatar: The Last Airbender, hii imetoka tarehe 22 mwezi huu na filamu inayohusu kijana kutoka Bara la Asia, ambaye aliganda kwenye barafu akiwa na miaka 12 na anatoka kwenye hilo barafu kwaajili ya kuleta usawa kwenye jamii ambao wanagombea vitu vinne ambayo ni maji, dunia,moto na hewa

. Mtu pekee ambaye anaweza kuweka usawa na kudumisha maelewano katika ulimwengu ni”Avatar”. 

Unaweza Sema kijana huyo ni kama Rais ambaye anakuwa anakazi ya kutatua migogoro na kuleta auheni kwa jamii yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *