Zipo faida nyingi ila leo nitakupatia faida chache za mti wa Mlonge ambao ni tiba sana kwa magonjwa mbalimbali.
Faida zenyewe ni-:
- Mti wa Mlonge hutibu maradhi sugu kama vile Kisukari (Kuimalisha na kurekebisha viwango ya sukari katika umri wa mwanadamu) , Pressure, malaria, homa ya mara kwa mara, Saratani ya tumbo, hupunguza sonona stress pia huondoa uchovu mwili na kukufanya uwe na afya nzuri,
- Majani na maua ya Molonge yanavirutubisho vingi kama vitamin A ( mara tatu zaidi ya karoti), Vitamini C (mara tatu zaidi ya ile ya machungwa), calcium (mara 140 zaidi ya ile inayopatikana katika maziwa ya gombe) na Potasiamu.
- Faida nyingine itokanayo na unga wa majani ya mti wa mlonge ni kusafishia maji ambayo ni machafu na kuweza kuyatumia