Faida za kupaka manjano Usoni

Hello mambo vipi mwana Maisha fresh!! Leo napenda tuzungumze kuhusu Ngozi, hasa kwa wamawake maana najua wengi wamekuwa wanasumbuka sana kuhusu ngozi zao kuwa kavu au za mafuta.

Mimi binafsi ngozi yangu ni ya mafuta na ninaipenda sana!! maana natumia manjano na vitu vingine kuhakikisha napunguza mafuta yaliyopo usoni mwangu.

Hivyo nakuletea faida tano za kupaka manjano kwenye ngozi yako. Ila unaweza kuchagua upake usiku au asubuhi, na pia unaweza kuchanganya na maji ya kawaida au rose water. Na ukakaa nayo kuanzia dakika 10-15 kisha utanawa na maji ya uvugu vugu.

Na hizi ndio faida tano za majano:-

  1. Kuondoa mafuta. Kwa watu wenye ngozi za mafuta, manjano Honda mafuta usoni
  2. Huondoa ukavu Kwa ngozi kavu .ukichanganya manjano na mafuta ya nazi. husaidia kurainisha ngozi na kuondoa ukavu
  3. Huondoa makunyanzi. Ukichanganya manjano, unga wa mchele na juice ya nyanya, mchanga nyiko huu husaidia kuondoa mkunyazi usoni
  4. Kuondoa Malele mwana. Changanya manjano na maziwa fresh au maji kisha upake maendeo hayo
  5. Kuipa ngozi mng’ao. Ukichanganya manjano na maji na kupaka usoni husaidia kufanya ngozi ing’ae vizuri
    Natumaini umesema vizuri umeolewa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *