Enisa ndani ya album mpya ya Harmonize

Good for the game!! Staa wa muziki, Harmonize ameweka wazi ujio wa kazi yake mpya na msanii wa Marekani, Enisa ambayo itakuwa kwenye albamu yake mpya ijayo.

Kupitia Instastory, Harmonize ameachia kionjo cha ngoma yao hiyo na huku akiwataka mashabiki zake kuotea jina la albamu hiyo ya nne kwa lugha ya Kiingereza.
Mwaka 2020 Harmonize aliachia albamu yake ya kwanza iitwayo AFRO EAST, ikafuata HIGH SCHOOL 2021 na 2022 akatoka MADE FOR US

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *