Edward Lowassa amefariki Dunia leo

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa amefariki Dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, jijini Dar Es Salaam.

Taarifa ya kifo chake kimetangazwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *