Mwanadada Nai, amefunguka kuwa katika duka lake la nguo ametumia kiasi cha Milioni 42, za Kitanzania kuwekeza, yani ndio pesa yake ya mtaji dukani hapo. Mrembo huyo amebainisha hayo kupitia Ask me Question, Instagram.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz