Dube Mambo Magumu,Azam Yashinda Kesi

Klabu ya Azam FC imefanikiwa kushinda kesi yake dhidi ya mchezaji Prince Dube.

Kesi hiyo ambayo ilikuwa inahusiana na masuala ya kimkataba kati ya Mchezaji huyo na klabu ya Azam FC imeisha kwa na mchezaji huyo kutakiwa kuilipa Azam FC kiasi cha Dola 210,000 (zaidi ya milioni 540 za kitanzania) ili aweze kuwa mchezaji huru.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *