Drake amtabiria makubwa mwanae mpira wa kikapu

Linapokuja suala la mzazi kuzingatia ndoto za mtoto wake hususani kwenye vipaji, anatakiwa kutumia jitihada na gharama zake zote ili kufanikisha talanta ya mtoto.

Drizzy Drake ametabiri kuwa mwanae Adonis atakuwa mchezaji mkubwa wa mpira wa kikapu NBA

Wasanii mbalimbali kama DJ Khaled, Jim Jones, Nick Minaj na wengineo wameonyesha upendo kwa mtoto huyo Adonis.

“Leaving these here until the 2036 draft” Drake asema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *