Dr. Dre ametunukiwa rasmi nyota ya heshima ya Hollywood Walk of Fame.

Mtayarishaji nguli wa muziki wa hiphop toka Marekani Dr. Dre ametunukiwa rasmi nyota ya heshima ya Hollywood Walk of Fame.

Dr. Dre anafuata nyayo za wasanii wenzake wa Rapa Ice Cube,
2Pac na Snoop Dogg waliowahi kutunukiwa tuzo hiyo ya heshima.

Sherehe ya kupatiwa nyota hiyo ilihudhuriwa na watu wake wakaribu akiwemo Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, DJ Quik na Jimmy lovine.

Ukitoa wimbo wa Still D.R.E. ametayarisha nyimbo nyingi
Diggity” ya BLACKstreet na nyingine nyingi ambazo ni nyimbo kubwa za Rap Duniani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *