Dodoma Jiji waachana na Kocha wako

Klabu ya Dodoma Jiji na Kocha wake Melis Medo wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba ili kumpa muda wa kutosha Mmarekani huyo kushughulikia changamoto za kifamilia zinazomkabili.

Medo ameondoka klabuni hapo wakati Dodoma Jiji ikiwa imeshinda mechi nne, sare tatu na kupoteza mechi tano msimu huu kwenye NBC Premier League.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *