DKT. SLAA ABURUZWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU, KOSA HILI HAPA…

Aliyekua Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo na Balozi wa Tanzania Swede, Dkt. Wilbroad Slaa mwenye umri wa miaka 76 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Dkt. Slaa amefikishwa mahakamani hapo leo Januari 10 2025 kujibu shtaka moja linalomkabili la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani Twitter),

Kesi ya Dkt. Slaa ya jinai iliyosajiliwa kwa namba 993 ya mwaka 2025 imesomwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki.

Picha: Mwananchi Communications.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *