DKT. KAMBANGA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amempangia Balozi Dkt. Habib Galuss Kambanga kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *