Dkt .Biteko Afungua Mkutano wa Wahariri

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2024 amefungua Mkutano Mkuu wa 13 wa Mwaka wa Kitaaluma wa Jukwaa la Wahariri Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa St. Gasper jijini Dodoma na kuwataka wanahabari wajisimamie na kuilinda taaluma ya habari.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye Aizungumza katika Mkutano wa Mkuu wa 13 wa Mwaka wa KItaaluma wa Jukwaa la Wahariri Tanzania unaofanyika Jijini Dodoma.

Picha mbalimbali kutoka katika Mkutano wa Mkuu wa 13 wa Mwaka wa KItaaluma wa Jukwaa la Wahariri Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *