DKT. BESIGYE ANYIMWA DHAMANA, SABABU ZATOLEWA

Kiongozi wa upinzani Nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye na Hajj Lutale, wamenyimwa dhamana na Mahakama Kuu ya Nchi hiyo kwa madai kuwa kesi inayowakabili ni ya uhaini na uchunguzi bado haujakamilika.

Dkt. Besigye aliyewahi kuwa Daktari binafsi wa Rais Yoweri Museveni, alikamatwa Novemba, 2024 jijini Nairobi Nchini Kenya na alishitakiwa kwa uhaini na kumiliki silaha kinyume cha sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *