Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Amina Suleiman Msengwa kuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali.
Taarifa ya Katibu Mkuu Moses Kusiluka, imeeleza kuwa Dkt. Amina anachukua nafasi ya Dkt. Albina Chuwa, ambaye amemaliza muda wake.
![](https://jambofm.co.tz/wp-content/uploads/2025/02/Screenshot_20250213-190541_Google.jpg)
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Amina Msengwa alikuwa Mhadhiri Mwandamizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.