DJ Maphorisa katika tuhuma nzito

DJ Maphorisa anaingia katika tuhuma nzito za kujihusha na wasanii wake wa kiume akiwemo Daliwonga.

Mdai hayo yametolewa na Bongani Joshua Tsime kupitia The Wall Podcast ya SkeemGP huku akisema pia na yeye yumo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *