Director Nisher afariki Dunia

Muongozaji wa Video za muziki nchini Nisher(Nic Davie) amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo kwao Arusha.

Chanzo cha karibu kutoka kwenye Kanisa la Ngurumo ya Upako Arusha, la Nabii Georavie ambaye ni Baba yake na msanii huyo amethibitisha kutokea kifo cha muongozaji huyo wa video alipoongea na Jambo FM ambapo ameweka wazi kuwa kabla ya umauti Marehemu alikuwa kusumbuliwa na majeraha mbalimbali katika mwili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *