Diddy atunukiwa tuzo na VMA

Nguli wa muziki wa HIP Hop, Diddy Usiku wa kuamkia leo huko Newark, New Jersey – Marekani ametunukiwa tuzo ya Global Icon na Video Music Awards, kama kutambua mchango wake katika muziki na jamii.

Kabla ya tuzo hiyo alitumbuiza ngoma ya “I’ll Be Missing You” na “Bad Boy for Life”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *