Diddy apigwa ‘stop’ kuhudhuria Met Gala

Mtandao wa Radar Online, umeripoti kuwa rapa mkongwe
Sean “Diddy” Combs amepigwa stop na hatopewa mualiko kwa mwaka huu 2024 kuhudhuria tafrija ya Met Gala.

Diddy amekutana na kisanga hicho kufuatia kesi zinazomkabiri za unyanyasaji wa kingono wa watu kadhaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *