Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Diddy alikutana na mamwela Airport

Inaelezwa kuwa Rapa Diddy alikutana na maafisa wa Polisi, usiku wa kuamkia leo akiwa Uwanja wa ndege wa Miami walipoenda kuikamata Ndege yake akiwa na kijana Brendan Paul anayetajwa kuwa ni mtu anayemuuzia  Madawa ya kulevya.


Hata hivyo maafisa hao wa polisi wanasema walikuta Madawa ya kulevya kwenye begi la kusafiria la Brendan na walimuweka chini ya ulinzi kisha badae kumuachia.

Hata hivyo Brendan alikutwa hana hatia kwenye kesi ya Diddy iliyoripotiwa na Rodney Jones akidai kuwa Paul alitumika kama punda wa Diddy kusambaza madawa na kubeba silaha, jambo amablo Diddy alikana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *