Rapa mkongwe, Sean “Diddy” Combs ametangaza kuachia na nafasi yake ya uwenyekiti kwenye Kampuni yake ya habari iitwayo Revolt.

Diddy amefanya hivyo kufuatia tuhuma nzito zinazomkabiri za unyanyasaji wa kingono na ubakaji aliodaiwa kutenda maika kadhaa iliyopitaikiwemo kesi ya Ex- wake Cassie na kesi ya kutumia dawa za kulevya na kumnyanyasa kingono mwanafunzi wa zamani wa Syracuse mnamo 1991.