Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Diamond, Zuchu, Zari na mumewe wana jambo lao?

Staa wa muziki na CEO wa WCB, #diamondplatnumz akiwa na msanii wake na mpenzi wake #zuchu , pamoja na baby mama wake Zari na mume wa #zari wamekutana huko nchini Afrika Kusini.

Wanne hao wamekutana pamoja na kufanya mazungumzo huku wakipata vinywaji. Hata hivyo inaelezwa kuwa wapo kwenye kushoot msimu mwingine wa tamthilia ya Young, Famous & African.

Msimu wa kwanza na wapili wa Young, Famous and African uliachiwa Machi18, 2022 kupitia mtandao wa Netfilx.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *