Mtandao wa Africa Facts Zone umetoa orodha ya wasanii 10 wa muziki wa Afrobeats, wanaoongoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao wa Youtube.
Katika Orodha hiyo tano bora imeshikwa na wasanii wa Tanzania na Nigeria Pekee ambapo Tanzania ina Diamond Platnumz, Rayvann na Harmonize.