Diamond Platnumz na S2kizzy waingia studio

Staa wa muziki Diamond Platnumz ameshare video akiwa studio na mtayarishaji wa muziki S2kizzy na kubainisha kuwa wanarekodi ngoma mpya.

Mara ya mwisho kufanya kazi pamoja ni miezi minne iliyopita kupitia kazi ya Over Dose, ila ngoma hii haikutamba sana kama ‘Shu’ ambayo imetoka miezi sita iliyopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *