Baada ya kukiwasha Rwanda hivi karibuni kwenye Tamasha la Giant, zimesalia siku nne tu kufikia Agosti 19, mwaka huu!! Ambapo staa wa muziki Diamond Platnumz atatumbuiza kwenye tamasha la @afronation.us . ambalo litafanyika Michinga kwa siku mbili mfululizo.
Katika siku hiyo ya kwanza Diamond, atakuwa na mastaa kama Burna Boy, Ari Lennox, Kizz Daniel, Latto. Dad Ju, Skillibeng, Victony na Niss.
Kwa siku ya tarehe 20, Davido atakiwasha ila pia P Square, Coi Leray, Naira Marley.Masego, Tayc, Stanebwoy, Libianca na Ebony Riley.