Diamond Platnumz awania tuzo Ufaransa

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo ya MTV EMA 2023, kupitia kipengele cha Best African Act. Na tuzo hizo zitatolewa Mjini Paris-Ufaransa ifikapo Novemba 5 mwaka huu.

Katika kipengele cha #BestAfricanAct, Diamopnd anawania na wasanii wengine kutoka hapa Afrika ambao ni Burna Boy Libianca Asake na Tyler ICU.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *