Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Diamond Platnumz ampiku Zuchu Afrimma

Tuzo za Afrimma zimetolewa Usiku wa jana (Septemba 17), ambapo staa wa muziki Diamond Platnumz ameibuka mshindi wa tuzo hiyo kama BEST MALE EAST AFRICA.

Ila bahati haikuwepo kwa Zuchu kwani alijikuta akipoteza tuzo ya BEST FEMALE EAST AFRICA, mbele ya Nadia Mukami kutoka Kenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *