Staa wa muziki Diamond Platnumz, ameweka wazi kupitia hali mbaya ya kiafya kwa kupata homa kali iliyopelekea kulazwa hopsitali kwa muda kadhaa huko Jijini Arusha.

Diamond ametoa taarifa ya hali yake kupitia Ukurasa wake wa mitandao wa kijamii wa Instagram.