Staa wa muziki Diamond Platnumz, ameweka wazi kwa sasa ameamua kuweka studio yake binafsi ya muziki nyumbani kwake.
Diamond ameshare video hiyo ya studio yake kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram (Instastory.
Kabla ya kufungua studio hiyo ya nyumbani Diamond alikuwa amefungua studio ya muziki wa Wasfi maeneo ya Sinza, jijini Dar Es Salaam lakini baada ya kufungua kituo cha TV na Radio alihamisha studio hiyo.


