Diamond na Mr Blue wana jambo lao tarehe 26

Hatimaye ile taarifa ya kiwa Tarehe 26 atakuwa na jambo zito, Leo saa 6 staa wa muziki Diamond Platnumz anatarajia kuachia ngoma yake mpya akiwa amemshirikisha Mr. blue

Diamond amebainisha hayo katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “SIMBA X NYANI MZEE, saa sita kamili usiku leo”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *