Diamond, Alikiba na Rayvanny wanalipwa vizuri kwenye shoo

Mtandao wa Africa Fact Zone umetaja orodha ya wasanii zaidi ya 30 kutoka hapa Barani Afrika na namna ambavyo wanalipwa kwa shoo moja.

Wasanii kutoka Nigeria ndio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi Zaidi na upande wa Afrika Mashariki Tanzania ndio tunaongoza kupitia kwa Diamond Platnumz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *