DIAMOND AFUNGUKA, KUHUSU MBOSSO KUONDOKA WCB…

Baada ya kuwepo kwa uvumi wa msanii kutoka lebo ya WCB, Mbosso Khan kuihama lebo hio. Leo mkurugenzi wa WCB Diamond Platnumz ameamua kuingiia kati na kuweka sawa taarifa hiyo.

Diamond kupitia page yake ya Instagram amesema ‘Tumekua na Mazungumzo Mazuri na Mbosso, Namna ya kuanza Rasmi sasa Kusimamia Kazi zake no Tumekumilisho jambo letu Vizuri sano, Tafadhali Story yoyote inayozungumawa kuhusu jambo hili la Mbosso. naomba zipuuzwe, Mpaka Mimi Binafsi na mbosso_ tutapotoa Tamko Rasmi’ – SIMBA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *