Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Davido na Rema wafanya Jmabo kwa Mohbad

Staa wa muziki Davido anatarajia kushiriki kutoa heshima za mwisho kwa msanii wa Muziki Mohbad siku ya Alhamisi (21,Agosti2023) ambapo Davido amelazimika kukatisha shughuli zake huko nchini Uingereza.

Mbali na hivyo pia Rema amewasilisha mchango wake kupitia akaunti ya mtoto wa marehemu Mohbad, taarifa hiyo imetolewa na Rafiki wa karibu marehemu Bella Shmurda kupitia Instastory.


Shughuli yote ya kutoa heshima za mwisho itafanyika uwanja wa Muri Okunola- Lagos.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *