Davido na Chioma wapata mapacha?

Baada ya kupoteza mtoto wao mwaka 2022 Novemba , taarifa zilizopo ni kuwa Davido na mkewe Chioma wamepata watoto mapacha.

Mdai ya wawili hao kupata watoto mapacha yametolewa na Mchungaji wa Nigeria anayejulikana kwa jina la Gospel Agochukwu, ambaye ameweka hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook kwa kuweka jumbe za WhatsApp alizochati na Davido.

Inaelezwa kuwa mwaka jana, mhubiri alimwambia Davido na mkewe kuwa watapata watoto mapacha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *