Baada ya tetesi, hatimaye imejulikana ni kweli ambapo staa wa muziki @davido na mkewe Chioma wamefanikiwa kupata watoto mapacha ambao ni wakike na wakiume.
Wawili hao walipoteza mtoto wao wa kwanza aitwaye Ifeanyi Davido, mwaka jana Oktoba ambaye alidumbukia kwenye bwawa la kuongelea nyumbani kwa Davido-Lagos.