Davido na Chioma wajiachia na watoto wao

Kupitia mitandao wa X, Davido ameshare video fupi akiwa na mkewe Chioma, ambayo wapo matembezeni huku wakiwa na watoto wao mapacha waliopata mwishoni mwa mwaka 2023.

Davido walifanikiwa kupata watoto hao, ikiwa ni mwaka 2022 ampoteze mtoto wake wa Kiume aitwaye Ifeanyi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *