Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Davido atajwa mara 3 Grammy

Ule usemi wa Mungu akitaka kukuandikia hakuandikii barua ndio huu sasa kwa staa wa muziki Davido ambaye kwa mara ya kwanza anafanikiwa kutajwa mara tatu kuwania tuzo za Grammy 2024.

Davido ametajwa katika vipengele vitatu ambavyo ni ‘Best African Performance’ kupitia ngoma ya ‘Unavailable’ ft Musa Keys, Pia ametajwa kwenye ‘Best Global Music Performance’ kupitia ngoma ya ‘Feel’ na’ Best Global Album’ kupitia albamu yake ya ‘Timeless’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *