Davido amtunuku Chioma jumba kwa kumzaliwa mapacha

Inaelezwa kuwa staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido amempa mkewe, Chioma, jumba la kifahari la $900,000 sawa na Tsh/=2,252,700,000.00 kama zawadi ya kumzalia watoto mapacha.

Hayo yamebainishwa na mwanahabari mpekeuzi Kemi Olunloyo, kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema jumba hilo lipo Atlanta, Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *