Staa wa muziki nchini Darassa ameweka wazi kuwa tayari CEO wa WCB Diamond amemta ruksa ya kuachia kazi yake ifikapo tarehe 22 mwezi huu, Darassa amethibitisha hauo kupitia Instagram page yake.

Mpaka sasa bado hajiawekwa wazi kuwa hiyo itakuwa ni kolabo ya wawili hao ama ni ngoma ya Darassa na msanii mwingine kutoka WCB.
- WCB BIG BOSS 🦁 @diamondplatnumz AMETOA GO AHEAD SASA MABIBI NA MABWANA, BOYS AND GIRLS TUKUTANE HAPA 22nd 🛜Edited · 2hSee translation
diamondplatnumzHITS ONLY!!!! 🔥🔥🔥👑☠️
Mpaka sasa Diamond amefabya vack to back ya kolabo na amstaa wengi hivi karibuni kama vile Jux,G Nako, Mr Blue,Jay Melody na Chid Benz.