Aliyekuwa mpenzi wa Rapa Rick Ross, Cristina Mackey amethibitisha kuachana na rapa na mfanyabiashara huyo kupitia ukurasa wake wa Threads.

Mrembo huyo amedai kuwa wameachana wiki mbili zilizopita.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz