Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Cristiano Ronaldo, adaiwa kufunga ndoa na mpezi wake

Baada ya kuchumbiana kwa zaidi ya Miaka 7 na kupata watoto 5 pamoja hatimaye msaka kabumbu wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al-Nassr Cristiano Ronaldo ananadaiwa anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake Georgina ambaye ni mwanamitindo siku ya leo Machi 5.

Taarifa hii imetolewa kwenye mtandao wa X na ukurasa maalumu wa mashabiki zake uitwao Cristiano Xtra.

Mwaka 2022 katika mahojiano aliyofanya na Piers Morgan, Ronaldo aliweka wazi kuwa ndoa sio kitu anachokiwaza kwa sasa ila huwenda huko mbeleni atafikiria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *