Timu ya Taifa ya Congo DR imetolewa katika mchezo wa Nusu Fainali ya AFCON hapo jana na Ivory Coast kwa kukubali kufungwa goli moja dakika ya 65’ kipindi cha pili na goli lilifungwa na Haller 65.
Fainali itakuwa ni kati ya Nigeria na wenyeji Ivory Coast, siku ya Jumapili. Huku nafasi ya mshindi watatu watacheza Afrika Kusini na Congo DR.