Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria birthday party ya msanii Tyla, staa wa ‘WATER’ kutoka Afrika Kusini.
Sherehe hiyo ya Tyla ilifanyika huko Los Angeles, Marekani siku ya jana.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz