Staa wa muziki kutoka Marekani Chris Brown ameendeelea kusisitiza kwa wale wanaomchukulia poa kuwa licha ya yote anayofanyiwa ila hakuna msanii atakayetokea kama yeye,”Hatokuja kutokea Chris Brown mwingine, msisubiri mpaka nife Ndio Mlitambue hilo” ameandika staa huyo kwenye Instastory yake.
Huu ni muendelezo wa lawama kutoka kwa msanii huyo kwa watu, kwani hivi karibuni msanii huyo alidai hapewi heshima anayostahili lakini pia amekuwa akifanyiwa figisu mbalimbali