Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Chris Brown ametangaza ziara yake ya 11:11

Staa wa muziki Chris Brown ametangaza ziara yake ya kimuziki ambayo itaunga mkono albamu yake ya 11, 11:11 na ziara hiyo itaanza majira ya joto nchini humo. 

Chris amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii waInstagram hata hivyo hajaweka tarehe ya kuanza ziara hiyo. yanasubiriwa wakati timu yake inakamilisha kumbi.

“Hey, Team Breezy. Uongozi umeniomba nisubiri [kutaja] tarehe za ziara hadi tuthibitishe sehemu zote . Ila mapema [wakati wa kiangazi]. Jina la ziara ni nini? ‘Ziara ya 11:11.’”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *